Ubaguzi ndio Tisho Kubwa kwa Familia za Kenya
Familia ni kiungo muhimu sana katika kila jamii. Hapa Kenya hili limetambulika wazi katika sheria kuu ukurasa wa 4, kipengee cha 45. Kando na yaliochapishwa kisheria familia ziko aina nyingi kulingana na jamii na maelewano ya wanaohusiana kifamilia. Kuna mengi yanayokumba familia ambayao athari zake zinafikia jamii nzima kwa njia tofauti ikiwemo ubaguzi. Ubaguzi hujitokeza…