WAMEFUNGIWA, WAMETENGWA: MAISHA YALIYOFICHWA YA WAFANYIKAZI WA NYUMBANI KUTOKA KENYA WANAOFANYA KAZI NCHINI SAUDI ARABIA
Ukiwa katika nchi kama Saudi Arabia, huna pesa, uko peke yako kwa hivyo huna msaada wowote… Nilikuwa nimefungiwa ndani, kutoka nje haikuruhusiwa. Sijawahi kutoka nje ya nyumba na sikuwahi kuwa na siku ya mapumziko. Hope*, ambaye alirejea Kenya baada ya kufanya kazi kama mfanyakazi wa ndani nchini Saudi Arabia Historia Saudi Arabia ni makao ya…